Haya ni maisha ya watu wanao ishi katika bara la Afrika je umewahi kufikiria haya maisha kuna siku utaweza kuishi ila hakuna mwenye kufikiria ila ndo maisha ya Sudani ya kusini na kaskazini ila swali ni nani aliye sababisha ? wapo watu, jumuiya na mataifa tofauti yamehusika kwa namna moja au nyengine ila cha msingi ni jinsi gani ya kumaliza tatizo hili. Maelfu ya watu wamepoteza maisha yao mali zao makazi yao ila lini nchi hizi zitakuwa na amani.





