#
.

Monday, January 14, 2013

School Life Style


Nilipotembelea ziwa Victoria nikiwa nchini Uganda katika ziara ya kimasomo katika eneo la Entebe.

Nikiwa katika kitanda changu katika shule ya msingi Happy Hours nchini Uganda.

Katika picha ya pamoja Ally na watanzania wezangu nchini Uganda katika shule ya Happy Hours Primary School bila ya kumsahau Mlezi wetu wa Bweni  Madam Betty aliye katikati {Abdallah,Hafidhi,Saidi,Hamad,Mashaka,Nasor {a.k.a chai jaba}Omar,Ally,Jabir,Namwale,Adam,Peter




Katika picha ya pamoja na wanafunzi wezangu wa kozi ya Uhusiano wa Kimataifa katika chuo kikuu cha Dodoma.
Udom chamber tukiwa katika ukumbi wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Udom chamber tukitembelea shule ya Secondary Viwandani kutoa huduma ya msaada wa vifaa vya Usafi.
Udom Chamber tukiwa katika kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum mkoani Dodoma Miyuji{Life of goo Hope}kutoa msaada.
Ally na Mr.Ssematimba mwalimu wangu katika somo la kijamii{Social study)
Katika mahafali ya kidato cha sita katika shule ya Swilla Secondary mkoani Mbeya.
Ally na Lucas Gugai rafiki yangu katika shule ya Aggrey Mbeya.
Katika picha ya pamoja ya Viongozi O'level na A'level katika shule ya Makongo Secondary 2007 katika utawala wa Hawa Pondomo{Prime Minister}.
Katika picha ya pamoja katika shule ya MakongoSecondary tukiwa watu tulio aminiwa na wanafunzi wenzetu kuwa tumikia 2007.
Katika shule ya Thaqalain seminari tukiwa na mmiliki wa shule Mzee Ngon'ga bure{marehemu}.
Katika picha ya pamoja Ally na Mh.Benarld Membe waziri wa mambo ya nje katika kiwanja cha Bunge la Jamuhuri la Muungano wa Tanzania.
Tukiwa na Mheshimiwa Lukuvu katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
a
Group members 2010-2013 katika Chuo Kikuu Cha Dodoma.